Msanii wa kundi la Wanaume Family, Chege Chigunda amesema ingawa wimbo wa
‘Chapa Nyingine’ unaendelea kufanya vizuri, anatarajia kuachia wimbo mpya
‘Wauwe’ ambao upo tayari. Akizungumza kwenye kipindi cha The Playlist cha
Times FM jana,Chege amesema wimbo huo ulitayarishwa mwezi uliopita.
“Kimuziki formation ni ileile Chapa Nyingine ,sisi tunatoa ngoma tu
,tunatoa ngoma baada ya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
THIS BLOG DESIGNED BY
HOME BOYZ GRAPHICS LABORATORY

No comments:
Post a Comment