Friday, 18 April 2014

Johari akanusha kutaka kufunga ndoa na Ostaz Juma

Msanii wa filamu nchini, Blandina Chagula maarufu kama Johari amekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na meneja wa Mtanashati Entertainment, Ostaz Juma. Ostaz Juma na Johari Akizungumza kwenye kipindi cha The Cruise cha East Africa Radio, Johari alisema kuwa hajawahi kuwa na uhusiano ya kimapenzi na Ostaz Juma wala Ray. 

No comments:

THIS BLOG DESIGNED BY

HOME BOYZ GRAPHICS LABORATORY