Saturday, 19 April 2014

MMH..BAADA YA DIVA NA LULU..PENNY NAYE ATUPIA PICHA ZA MITEGO MTANDAONI...SHUHUDIA MWENYEWE HAPA....!

Baada ya kuwa kimya katika akaunti yake ya instagram, Penny ambaye ni mtangazaji wa kituo cha DTV kilichopo Dar, amerudi kwa kasi katika mtandao huo baada ya kuachia picha yenye mitego ikionesha kitovu chake, tazama hapo chini picha hiyo...

No comments:

THIS BLOG DESIGNED BY

HOME BOYZ GRAPHICS LABORATORY