Fans
wa HipHop Arusha, Tarehe 4 Jumamosi Oktoba 2014 Tukutane fasi ya Galaxy
Club opposite PinPoint mianzini kwa show ya ” MAJEMBE KAZINI” Part One,
Mtamboni Deejay Cocorico na Jukwaani full Mawe juu ya Mawe toka kwa
FidoVato, Bounako, DipperVato, RikyVato, featuring Chindo aka Umbwax kwa
kiingilio cha Elfu Tano Pekee Mlangoni,Kuanzia saa Tatu Hadi Nane Usiku
Usikose. Powered by www.vmgafrica.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
THIS BLOG DESIGNED BY
HOME BOYZ GRAPHICS LABORATORY
No comments:
Post a Comment