Rapper Meek Mill ambae alikuwa Philadelphia jela tangu mwezi wa saba ametoka jela siku ya leo
Hakimu
alimuhuku Meek Millkwenda jela kwa miezi 3 mpaka 6 kwa kosa la kukiuka
masharti ya kifungo cha nje, ambapo leo hii ametoka baada ya kukamilisha
masharti ya huduma za jamii na program ya
matibabu.
haijajulikan ampaka dakika hii program hii itajumuasha vitu gani. Moja
kati ya msharti aliyopewa ni kutokusafiri nje ya Philladelphia mpaka
amalize program hiyo kwahiyo tour ataisikia kwenye bomba.

No comments:
Post a Comment