Mtangazaji Doreen
Komuhangi ambae ameingia kwenye list ya watangazaji wazuri nchini
Uganda anayefanya kazi katika kituo cha NBS TV, Mrembo huyo kupitia
akaunti yake ya twitter aliandika juu ya kuvutiwa kimapenzi kutokana na
ufanyanyi kazi wa Rais Uhuru Kenyatta Kutoka Kenya na aliandika kama
ifuatavyo
“The way that guy does his things..oh my God, am in love. he is a true Gentleman.”
Hizi hapa chini ni picha zake mwenyewe mwangalie jinsi alivyo mzuri



No comments:
Post a Comment