Wednesday, 3 December 2014
Shedy Clever Alalamika juu ya Jina lake kutoandikwa kwenye video mpya ya Nitampata wapi Ya Diamond Zaidi Soma Hapa
Hitmaker wa nyimbo mbili za diamond Platinum'z Kama number one na Nitampata wapi Shedy clever Japo kuonekana kufurahia kitendo cha Diamond Kupata Tuzo Tatu za Chanel O lakini amelalamikia kitendo cha yeye kutoandikwa kwenye video mpya ya Nitampata wapi ya Diamond kama Producer wa Hiti Hiyo Akiongea na kipindi cha E News kutoka kituo cha Televisheni cha EATV Shedy Clever alisema labda wamejaribu kukopy kutoka kwa wenzetu wa Afrika Magharibi kama akina Davido Ambao huwa hawaandiki maproducer wa audio zao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
THIS BLOG DESIGNED BY
HOME BOYZ GRAPHICS LABORATORY

No comments:
Post a Comment