Friday, 2 September 2016

DJ Khaled kusherehesha tuzo za Hip Hop za BET 2016

Kutoka kusherehesha utangulizi wa  MTV Video Music Awards,  Dj Khaled sasa anatarajiwa kusherehesha tena (host) BET Hip-Hop Awards 2016.

Mkuu wa vipindi wa BET,  Stephen Hill, alitoa tangazo hilo kupitia Snapchat na Khaled amekubali kwa moyo mmoja.
“They didnt want me to host the 2016 @bet Hip Hop Awards!! So guess what?? Im your host!! Tune in Oct 4th!! 8pm/7c #HipHopAwards #WeTheBest We have a lot of surprises!!!! Be ready! ðŸ”‘ aliandika Khaled kwenye Instagram.
Pamoja na kuwa host,  Khaled anawania tuzo nane zikiwemo DJ of the Year, MVP of the Year, na Hustler of the Year.
Show hiyo itarekodiwa Sept. 17  huko Cobb Energy Performing Arts Centre, Atlanta,  lakini itarushwa kwenye runinga, Oct. 4.

No comments:

THIS BLOG DESIGNED BY

HOME BOYZ GRAPHICS LABORATORY