Thursday, 8 March 2018
Matokeo ya game 8 za 16 bora Europa League zilizochezwa usiku wa March 8 2018
Hatua ya 16 bora ya michuano ya UEFA Europa League ilichezwa usiku wa March 8 2018 kwa michezo nane kuchezwa barani Ulaya, hizi ni game za kwanza ambazo zimechezwa leo baada ya game za marudiano ndio tutajua timu gani zimeingia robo fainali.
Inawezekana ulikuwa mbali na TV na hukupata fursa ya kutazama game zenyewe, naomba nikusogezee matokeo ya game zote nane.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
THIS BLOG DESIGNED BY
HOME BOYZ GRAPHICS LABORATORY
No comments:
Post a Comment