Monday, 22 December 2014

Nicki Minaj amechaguliwa kuwa sura mpya ya mavazi ya Roberto Cavalli



Ikiwa ni wiki ya rappa Nicki Minaj, ameonekana kwenye vituo vya tv na kusikika kwenye radio, ameonekana kwenye majarida makubwa na interview za aina tofauti mpaka fashion yote haya akitangaza album yake mpya Pink Print.

Sasa Nicki Minaj amechaguliwa kuwa sura mpya ya Mbunifu wa mavazi Roberto Cavalli.

No comments:

THIS BLOG DESIGNED BY

HOME BOYZ GRAPHICS LABORATORY