Monday, 22 December 2014

Picha: Amber Rose alipoamua kumkatikia Chris Brown!

Ukiwaweka watu wawili maarufu kwenye chumba kimoja ambao hivi karibuni wametoka kuachana na wapenzi wao ndio unapoata kilichotokea kati ya Chris Brown na Amber Rose.

Amber, Back Chyna wamekutana na Chris brown kwenye club maarufu huko holiwood na kujiachia usiku kucha, huku marafiki wa Chris wakiona kama ni drama nyingine inakuja kati ya Chris Brown na washkaji zake wawili Tyga na Wiz Khalifa.

No comments:

THIS BLOG DESIGNED BY

HOME BOYZ GRAPHICS LABORATORY