Saturday 11 June 2016

Msami amefanyiwa surprise

Msami apewa zawadi hii ya surprise na meneja wake


Msanii Msami Giovani anayefanya vizuri na wimbo wake wa ‘Mabawa’ leo June 11, 2016 amefanyiwa surprise na meneja wake Rehema kwa kumzawadia gari aina ya Toyota Ipsum yenye thamani ya shilingi milioni 15.
 
Msami akikabidhiwa Kadi ya Gari na meneja wake Rehema

 Meneja wake amesema hiyo ni baada ya single yake kufanya vizuri kwenye redio na TV na hata kumpa shows nyingi zaidi mwaka huu. 

No comments:

THIS BLOG DESIGNED BY

HOME BOYZ GRAPHICS LABORATORY