Thursday 8 September 2016

Kanye West na Drake wathibitisha ujio wa album ya pamoja

Rapa wa Marekani, Kanye West baada yakuwa na tetesi kwa muda mrefu sasa imethibitishwa rasmi kwa wapenzi wa hiphop na rap kuwa album ya pamoja kati ya Kanye West na Drake inakuja.
kanye-west-drake-ovo-fest
West alithibitisha jambo hilo katika mahojiano na jarida la Vogue alisema “Ndio tunafanya muziki pamoja na kula raha studio tukitengeneza muziki,tuna tayarisha album kwa hiyo ni jambo la kusisimua linakuja”
“We’re just working on music, working on a bunch of music together, just having fun going into the studio,” he explained. “We’re working on an album, so there’s some exciting things coming up soon.”

No comments:

THIS BLOG DESIGNED BY

HOME BOYZ GRAPHICS LABORATORY