Kanye West amemsainisha Tyga kwenye label yake G.O.O.D. Music.
Yeezy alitoa tangazo hilo wakati wa show yake jijini New York, Jumatano hii. Tyga ana ukaribu na Kanye wa muda mrefu kwakuwa ana uhusiano na shemeji yake, Kylie Jenner.
Hata hivyo bado Young Money na Cash Money zinamtaja kwenye website zake kama msanii wake. Tyga anaungana na Desiigner na wasanii wengine walio chini ya label hiyo.
No comments:
Post a Comment